Latest News


More

KWAYA YA WANAUME YAHUDUMU USHARIKA WA MWENGE JUMAPILI YA LEO

Posted by : Unknown on : Sunday, June 8, 2014 2 comments
Unknown
 
Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T leo umepambwa na kwaya ya wanaume ambayo imehudumu kwenye ibada zote mbili.Kwaya hiyo ambayo ni mara yake ya kwanza kuhudumu katika usharika huo.Ibada hiyo ya leo ilikua maaluma kwani iliongozwa na wanaume peke yao.Kwaya hiyo imeimba nyimbo mbili kwenye ibada zote mbili
Pichani juu na chini ni waimbaji wa kwaya ya  wanaume ya Usharika wa Mwenge ikiimba ibadani jumapili ya leo.
Anayeongoza ni mwalimu wa kwaya wa Usharika wa Mwenge mwalimu Kahesi


Picha ya pamoja ya wanaume wa Usharika wa Mwenge walioabudu kwenye ibada ya kwanza inayoanza saa 12.00 asubuhi
Waliovaa majoho wawili katikati nni viongozi walioongoza ibada hiyo.Waliovaa majoho mafupi ni waliohudumu kama wazee wa ibada.Aliyevaa suti nyekundu mbele ni mchungaji kiongozi wa Usharika wa Mwenge mchungaji Kaanasia Msangi

2 comments: for KWAYA YA WANAUME YAHUDUMU USHARIKA WA MWENGE JUMAPILI YA LEO

  1. Hakika Mungu naaudumishe umoja huu uwe ni wa mfano wa kuigwa kwa makanisa yote Tanzania.
    MUNGU ibariki Tanzania ,Mungu libariki kanisa Lako Mungu Tubariki wanamwenge Amien.

    ReplyDelete
  2. Amen mtu wa Mungu, na tuendelee kuuombea umoja huu.Barikiwa

    ReplyDelete