Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

FRANK NA HAPPY WAMEREMETA KATIKA KANISA LA ST.PETER OYSTERBAY

Posted by : Unknown on : Sunday, July 6, 2014 2 comments
Unknown
Saved under : ,




 Jana jumamosi ilikua siku ya furaha kubwa kwa bwana Frank Regis Maro pamoja na Happyness Saro baada ya kufunga ndoa katika kanisa la St.Peter Oysterbay na baadaye wakaungana na familia kwenye tafrija ya nguvu iliyofanyika katika ukumbi wa Msasani Beach Club (Makuti hall)
Pichani juu ni  maharusi wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wanafamilia mara baada ya kufunga ndoa yao kanisani hapo


Maharusi wakiwa kanisani St Peter Oysterbay kwenye misa ya ndoa takatifu
Maharusi wakipata picha katika viwanja vya Hotel Golden Tulip
Maharusi wakiwa kwenye picha ya pamoja na wapambe wao kwenye bustani ya hoteli ya kitalii ya Golden Tulip
Maharusi wakiwa kwenye picha ya pozi
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ambaye pia alikua Floor Manager Bwana Tumaini Kichila akiwakaribisha wageni kwenye sherehe hiyo
Bi harusi Happyness akikabidhi keki kwa wazazi wa bwana harusi
Maharusi wakikabidhi keki kwa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kwa niaba ya kamati nzima
Maharusi wakilishana keki
Bwana harusi akimlisha keki msimamizi mdogo Evelyn Kichila
Mc wa sherehe hiyo Mc Makassy Junior akiwapa shampaigne maharusi
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye sherehe hiyo
Floor Manager bwana Kichila akisaidia kukata kata ndafu
Picha ya pamoja ya wazazi na maharusi
Maharusi wakipata chakula cha usiku
Baadhi ya ndugu wa bibi harusi wakitoa mkono wa pongezi kwa maharusi
Ndugu wa bibi harusi wakitoa mkono wa pongezi kwa maharusi
Wafanyakazi wenzake wa mama wa Bwana harusi wakipeleka zawadi kwa maharusi

Ndugu wakimtunza mama wa bwana harusi


Maharusi wakiwa kwenye picha ya pamoja  na kamati ya maandalizi ya harusi mara baada ya sherehe katika ukumbi wa Msasani Beach Makuti  Hall

"Blog hii inawatakia kila la heri maharusi hawa"

2 comments: for FRANK NA HAPPY WAMEREMETA KATIKA KANISA LA ST.PETER OYSTERBAY

  1. ilipendeza sana Mungu awabariki sana.

    ReplyDelete
  2. Waaaooooh! mlipendeza saaana! Mungu awabariki maharusi

    ReplyDelete